Native Bible

Psalms 132:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Bwana ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake:

Psalms 132:13 in English

Psalms 132:13 · Berean Standard Bible

For the LORD has chosen Zion; He has desired it for His home:

Context

11Bwana alimwapia Daudi kiapo, kiapo cha uhakika ambacho hatakitangua: “Nitamweka mmoja wa wazao wako mwenyewe katika kiti chako cha enzi, 12kama wanao watashika Agano langu na sheria ninazowafundisha, ndipo wana wao watarithi kiti chako cha enzi milele na milele.” 13Kwa maana Bwana ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake: 14“Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele; hapa ndipo nitakapoketi nikitawala, kwa sababu nimepaonea shauku: 15Nitambariki kwa kumpa mahitaji tele: nitashibisha maskini wake kwa chakula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.