Native Bible

Psalms 126:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye azichukuaye mbegu zake kwenda kupanda, huku akilia, atarudi kwa nyimbo za shangwe, akichukua miganda ya mavuno yake.

Psalms 126:6 in English

Psalms 126:6 · Berean Standard Bible

He who goes out weeping, bearing a trail of seed, will surely return with shouts of joy, carrying sheaves of grain.

Context

4Ee Bwana, turejeshee watu wetu waliotekwa, kama vijito katika Negebu. 5Wapandao kwa machozi watavuna kwa nyimbo za shangwe. 6Yeye azichukuaye mbegu zake kwenda kupanda, huku akilia, atarudi kwa nyimbo za shangwe, akichukua miganda ya mavuno yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.