Zaburi 126:3
Psalms 126:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ametutendea mambo makuu, nasi tumejaa furaha.
Psalms 126:3 in English
Psalms 126:3 · Berean Standard Bible
The LORD has done great things for us; we are filled with joy.
Context
1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni,
tulikuwa kama watu walioota ndoto. 2Vinywa vyetu vilijaa kicheko,
ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe.
Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa,
“Bwana amewatendea mambo makuu.” 3Bwana ametutendea mambo makuu,
nasi tumejaa furaha. 4Ee Bwana, turejeshee watu wetu waliotekwa,
kama vijito katika Negebu. 5Wapandao kwa machozi
watavuna kwa nyimbo za shangwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.