Native Bible

Psalms 123:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.

Psalms 123:4 in English

Psalms 123:4 · Berean Standard Bible

We have endured much scorn from the arrogant, much contempt from the proud.

Context

2Kama vile macho ya watumwa yatazamavyo mkono wa bwana wao, kama vile macho ya mtumishi wa kike yatazamavyo mkono wa bibi yake, ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mungu wetu, mpaka atakapotuhurumia. 3Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu, kwa maana tumevumilia dharau nyingi. 4Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.