Native Bible

Psalms 114:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.

Psalms 114:8 in English

Psalms 114:8 · Berean Standard Bible

who turned the rock into a pool, the flint into a fountain of water!

Context

6enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume, enyi vilima, kama wana-kondoo? 7Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, mbele za Mungu wa Yakobo, 8aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.