Native Bible

Psalms 112:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa.

Psalms 112:2 in English

Psalms 112:2 · Berean Standard Bible

His descendants will be mighty in the land; the generation of the upright will be blessed.

Context

1Msifuni Bwana. Heri mtu yule amchaye Bwana, mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 2Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa. 3Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele. 4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, yule mwenye rehema, huruma na haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.