Zaburi 11:5
Psalms 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana huwajaribu wenye haki, lakini waovu na wanaopenda jeuri, nafsi yake huwachukia.
Psalms 11:5 in English
Psalms 11:5 · Berean Standard Bible
The LORD tests the righteous and the wicked; His soul hates the lover of violence.
Context
3Wakati misingi imeharibiwa,
mwenye haki anaweza kufanya nini?” 4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu;
Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni.
Huwaangalia wana wa watu,
macho yake yanawajaribu. 5Bwana huwajaribu wenye haki,
lakini waovu na wanaopenda jeuri,
nafsi yake huwachukia. 6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali
na kiberiti kinachowaka,
upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 7Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki,
yeye hupenda haki.
Wanyofu watauona uso wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.