Native Bible

Psalms 100:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwabuduni Bwana kwa furaha; njooni mbele zake kwa nyimbo za shangwe.

Psalms 100:2 in English

Psalms 100:2 · Berean Standard Bible

Serve the LORD with gladness; come into His presence with joyful songs.

Context

1Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote. 2Mwabuduni Bwana kwa furaha; njooni mbele zake kwa nyimbo za shangwe. 3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; sisi tu watu wake, kondoo wa malisho yake. 4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani na katika nyua zake kwa kusifu, mshukuruni yeye na kulisifu jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.