Mithali 7:3
Proverbs 7:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yafunge katika vidole vyako; yaandike katika kibao cha moyo wako.
Proverbs 7:3 in English
Proverbs 7:3 · Berean Standard Bible
Tie them to your fingers; write them on the tablet of your heart.
Context
1Mwanangu, shika maneno yangu
na kuzihifadhi amri zangu ndani yako. 2Shika amri zangu nawe utaishi;
linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. 3Yafunge katika vidole vyako;
yaandike katika kibao cha moyo wako. 4Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,”
uite ufahamu jamaa yako; 5watakuepusha na mwanamke mzinzi,
kutokana na mwanamke mpotovu
na maneno yake ya kubembeleza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.