Mithali 5:22
Proverbs 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu.
Proverbs 5:22 in English
Proverbs 5:22 · Berean Standard Bible
The iniquities of a wicked man entrap him; the cords of his sin entangle him.
Context
20Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba?
Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine? 21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana,
naye huyapima mapito yake yote. 22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe;
kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 23Atakufa kwa kukosa nidhamu,
akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.