Native Bible

Proverbs 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Chemchemi yako na ibarikiwe na umfurahie mke wa ujana wako.

Proverbs 5:18 in English

Proverbs 5:18 · Berean Standard Bible

May your fountain be blessed, and may you rejoice in the wife of your youth:

Context

16Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji na vijito vyako vya maji viwanjani? 17Na viwe vyako mwenyewe, kamwe visishirikishwe wageni. 18Chemchemi yako na ibarikiwe na umfurahie mke wa ujana wako. 19Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri: matiti yake na yakutosheleze siku zote, nawe utekwe daima na upendo wake. 20Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba? Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.