Mithali 5:17
Proverbs 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Na viwe vyako mwenyewe, kamwe visishirikishwe wageni.
Proverbs 5:17 in English
Proverbs 5:17 · Berean Standard Bible
Let them be yours alone, never to be shared with strangers.
Context
15Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe,
maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe. 16Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji
na vijito vyako vya maji viwanjani? 17Na viwe vyako mwenyewe,
kamwe visishirikishwe wageni. 18Chemchemi yako na ibarikiwe
na umfurahie mke wa ujana wako. 19Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri:
matiti yake na yakutosheleze siku zote,
nawe utekwe daima na upendo wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.