Mithali 26:28
Proverbs 26:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Proverbs 26:28 in English
Proverbs 26:28 · Berean Standard Bible
A lying tongue hates those it crushes, and a flattering mouth causes ruin.
Context
26Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu,
lakini uovu wake utafichuliwa kwenye kusanyiko. 27Kama mtu akichimba shimo, atatumbukia ndani yake,
kama mtu akivingirisha jiwe, litamrudia. 28Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza,
nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.