Native Bible

Proverbs 20:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, nayo michapo hutakasa utu wa ndani.

Proverbs 20:30 in English

Proverbs 20:30 · Berean Standard Bible

Lashes and wounds scour evil, and beatings cleanse the inmost parts.

Context

28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. 29Utukufu wa vijana ni nguvu zao, mvi ni fahari ya uzee. 30Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, nayo michapo hutakasa utu wa ndani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.