Native Bible

Proverbs 15:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe.

Proverbs 15:25 in English

Proverbs 15:25 · Berean Standard Bible

The LORD tears down the house of the proud, but He protects the boundaries of the widow.

Context

23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 24Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekima kumwepusha asiende chini kaburini. 25Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 26Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, bali yeye achukiaye rushwa ataishi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.