Native Bible

Proverbs 14:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shahidi mwaminifu hadanganyi, bali shahidi wa uongo humimina uongo.

Proverbs 14:5 in English

Proverbs 14:5 · Berean Standard Bible

An honest witness does not deceive, but a dishonest witness pours forth lies.

Context

3Mazungumzo ya mpumbavu huleta fimbo mgongoni mwake, bali mwenye hekima hulindwa na maneno ya midomo yake. 4Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu, bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 5Shahidi mwaminifu hadanganyi, bali shahidi wa uongo humimina uongo. 6Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua. 7Kaa mbali na mtu mpumbavu, kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.