Native Bible

Proverbs 10:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, na yeyote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu.

Proverbs 10:18 in English

Proverbs 10:18 · Berean Standard Bible

The one who conceals hatred has lying lips, and whoever spreads slander is a fool.

Context

16Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu. 17Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima, lakini yeyote anayepuuza maonyo hupotosha wengine. 18Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, na yeyote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu. 19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.