Wafilipi 4:5
Philippians 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
Philippians 4:5 in English
Philippians 4:5 · Berean Standard Bible
Let your gentleness be apparent to all. The Lord is near.
Context
3Naam, nakusihi wewe pia, mwenzangu mwaminifu, uwasaidie hawa wanawake, kwa sababu walijitaabisha katika kazi ya Injili pamoja nami bega kwa bega, wakiwa pamoja na Klementi na watendakazi wenzangu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima. 4Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! 5Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu. 6Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. 7Nayo amani ya Mungu, inayopita fahamu zote, itailinda mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.