Wafilipi 3:16
Philippians 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.
Philippians 3:16 in English
Philippians 3:16 · Berean Standard Bible
Nevertheless, we must live up to what we have already attained.
Context
14Nakaza mwendo nifikie ile alama ya ushindi iliyowekwa ili nipate tuzo ya mwito mkuu wa Mungu ambao nimeitiwa huko juu mbinguni katika Kristo Yesu. 15Hivyo sisi sote tuliokuwa kiroho tuwaze jambo hili, hata mkiwaza mengine katika jambo lolote, Mungu ataliweka wazi hilo nalo. 16Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia. 17Ndugu zangu, kwa pamoja fuateni mfano wangu na kuwatazama wale wanaofuata kielelezo tulichowawekea. 18Kwa maana, kama nilivyokwisha kuwaambia mara nyingi kabla, nami sasa nasema tena hata kwa machozi, watu wengi wanaishi kama adui wa msalaba wa Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.