Native Bible

Numbers 7:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba;

Numbers 7:50 in English

Numbers 7:50 · Berean Standard Bible

one gold dish weighing ten shekels, filled with incense;

Context

48Siku ya saba Elishama mwana wa Amihudi, kiongozi wa watu wa Efraimu, alileta sadaka yake. 49Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka; 50sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; 51fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 52mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.