Native Bible

Numbers 7:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;

Numbers 7:40 in English

Numbers 7:40 · Berean Standard Bible

one male goat for a sin offering;

Context

38sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; 39fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 40mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; 41maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Shelumieli mwana wa Surishadai. 42Siku ya sita Eliasafu mwana wa Deueli, kiongozi wa watu wa Gadi, alileta sadaka yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.