Hesabu 5:11
Numbers 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Bwana akamwambia Mose,
Numbers 5:11 in English
Numbers 5:11 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
9Matoleo yote matakatifu ya Waisraeli wanayoleta kwa kuhani yatakuwa yake. 10Kila kitu cha mtu kilichowekwa wakfu ni chake mwenyewe, lakini kile atoacho kwa kuhani kitakuwa cha kuhani.’ ” 11Kisha Bwana akamwambia Mose, 12“Nena na Waisraeli uwaambie: ‘Ikiwa mke wa mtu amepotoka na si mwaminifu kwa mumewe, 13kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine, tendo hili likafichika kwa mumewe na unajisi wake usigundulike (kwa kuwa hakuna ushahidi dhidi yake, naye hakukamatwa katika tendo hilo),
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.