Native Bible

Numbers 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila kitu cha mtu kilichowekwa wakfu ni chake mwenyewe, lakini kile atoacho kwa kuhani kitakuwa cha kuhani.’ ”

Numbers 5:10 in English

Numbers 5:10 · Berean Standard Bible

Each man’s sacred gifts are his own, but whatever he gives to the priest will belong to the priest.”

Context

8Lakini ikiwa mtu huyo hana jamaa ya karibu ambaye malipo yanaweza kufanywa kwa ajili ya kosa, malipo yatakuwa mali ya Bwana, nayo ni lazima apewe kuhani, pamoja na kondoo dume ambaye anatumika kufanyia upatanisho kwa ajili yake. 9Matoleo yote matakatifu ya Waisraeli wanayoleta kwa kuhani yatakuwa yake. 10Kila kitu cha mtu kilichowekwa wakfu ni chake mwenyewe, lakini kile atoacho kwa kuhani kitakuwa cha kuhani.’ ” 11Kisha Bwana akamwambia Mose, 12“Nena na Waisraeli uwaambie: ‘Ikiwa mke wa mtu amepotoka na si mwaminifu kwa mumewe,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.