Native Bible

Numbers 36:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama Bwana alivyomwamuru Mose.

Numbers 36:10 in English

Numbers 36:10 · Berean Standard Bible

So the daughters of Zelophehad did as the LORD had commanded Moses.

Context

8Kila binti atakayerithi ardhi katika kabila lolote la Israeli ni lazima aolewe na mtu kutoka kabila na ukoo wa baba yake, ili kila Mwisraeli amiliki urithi wa baba zake. 9Hakuna urithi uwezao kuhamishwa kutoka kabila moja kwenda kabila jingine, kwa kuwa kila kabila la Israeli litatunza nchi linayorithi.” 10Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama Bwana alivyomwamuru Mose. 11Binti za Selofehadi, ambao ni Mahla, Tirsa, Hogla, Milka na Noa, wakaolewa na waume, wana wa ndugu za baba yao. 12Waliolewa ndani ya koo za wazao wa Manase mwana wa Yosefu, na urithi wao ukabaki katika ukoo na kabila la baba yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.