Hesabu 31:53
Numbers 31:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila askari alikuwa amejichukulia nyara zake binafsi.
Numbers 31:53 in English
Numbers 31:53 · Berean Standard Bible
Each of the soldiers had taken plunder for himself.
Context
51Mose na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa. 52Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea Bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750* 53Kila askari alikuwa amejichukulia nyara zake binafsi. 54Mose na kuhani Eleazari walipokea dhahabu kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, wakazileta katika Hema la Kukutania kama ukumbusho kwa Waisraeli mbele za Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.