Native Bible

Numbers 31:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai?”

Numbers 31:15 in English

Numbers 31:15 · Berean Standard Bible

“Have you spared all the women?” he asked them.

Context

13Mose, kuhani Eleazari na viongozi wote wa jumuiya wakatoka kuwalaki nje ya kambi. 14Mose aliwakasirikia maafisa wa jeshi, yaani hao wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, ambao walirudi kutoka vitani. 15Mose akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai?” 16“Wanawake hao ndio waliofuata ushauri wa Balaamu, nao ndio waliowasababisha Waisraeli wamwasi Bwana kwa kile kilichotokea kule Peori, na kwa hiyo pigo liliwapata watu wa Bwana. 17Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.