Native Bible

Numbers 26:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730.

Numbers 26:7 in English

Numbers 26:7 · Berean Standard Bible

These were the clans of Reuben, and their registration numbered 43,730.

Context

5Wazao wa Reubeni, mwana mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa: kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki; kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 6kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi. 7Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730. 8Mwana wa Palu alikuwa Eliabu, 9nao wana wa Eliabu walikuwa Nemueli, Dathani na Abiramu. Hawa wawili Dathani na Abiramu ndio walikuwa maafisa wa jumuiya ambao walimwasi Mose na Aroni, na walikuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora wakati walimwasi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.