Native Bible

Numbers 26:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aroni alikuwa baba yake Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari.

Numbers 26:60 in English

Numbers 26:60 · Berean Standard Bible

Nadab, Abihu, Eleazar, and Ithamar were born to Aaron,

Context

58Hizi pia zilikuwa koo za Walawi: ukoo wa Walibni; ukoo wa Wahebroni; ukoo wa Wamahli; ukoo wa Wamushi; ukoo wa wana wa Kora. (Kohathi alikuwa baba aliyemzaa Amramu; 59jina la mke wa Amramu ni Yokebedi, naye pia alikuwa mzao wa Lawi, ambaye alizaliwa kwa Walawi nchini Misri. Alimzalia Amramu: Aroni, Mose na dada yao Miriamu. 60Aroni alikuwa baba yake Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari. 61Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za Bwana kwa moto usioruhusiwa.) 62Wanaume wote wa Walawi wa umri wa mwezi mmoja na zaidi walikuwa 23,000. Wao hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine kwa sababu hawakupokea urithi miongoni mwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.