Hesabu 26:46
Numbers 26:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
(Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera.)
Numbers 26:46 in English
Numbers 26:46 · Berean Standard Bible
And the name of Asher’s daughter was Serah.
Context
44Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna;
kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi;
kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia; 45kutoka kwa wazao wa Beria:
kutoka kwa Heberi, ukoo wa Waheberi;
kutoka kwa Malkieli, ukoo wa Wamalkieli. 46(Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera.) 47Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400. 48Wazao wa Naftali kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Yaseeli, ukoo wa Wayaseeli;
kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.