Hesabu 26:4
Numbers 26:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Bwana alivyomwagiza Mose.” Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri:
Numbers 26:4 in English
Numbers 26:4 · Berean Standard Bible
“Take a census of the men twenty years of age or older,* as the LORD has commanded Moses.” And these were the Israelites who came out of the land of Egypt:
Context
2“Hesabu jumuiya yote ya Kiisraeli kwa jamaa zao, wale wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, ambao wanaweza kutumika katika jeshi la Israeli.” 3Hivyo Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare ya Moabu, ngʼambo ya Yordani kutokea Yeriko, wakasema, 4“Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Bwana alivyomwagiza Mose.”
Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri: 5Wazao wa Reubeni, mwana mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa:
kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki;
kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 6kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni;
kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.