Native Bible

Numbers 25:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000.

Numbers 25:9 in English

Numbers 25:9 · Berean Standard Bible

but those who died in the plague numbered 24,000.

Context

7Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Aroni, alipoona jambo hili, akaondoka kwenye kusanyiko, akachukua mkuki mkononi mwake, 8akamfuata yule Mwisraeli ndani ya hema. Akawachoma mkuki wote wawili kwa pamoja, ukapenya kwenye mwili wa yule Mwisraeli na mwili wa yule mwanamke. Ndipo tauni iliyokuwepo dhidi ya Waisraeli ikakoma. 9Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000. 10Bwana akamwambia Mose, 11“Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Aroni, amegeuza hasira yangu mbali na Waisraeli, kwa sababu alikuwa na wivu kama nilio nao kwa heshima yangu miongoni mwao, hata kwamba kwa wivu wangu sikuwaangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.