Native Bible

Numbers 25:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu,

Numbers 25:1 in English

Numbers 25:1 · Berean Standard Bible

While Israel was staying in Shittim,* the men began to indulge in sexual immorality with the daughters of Moab,

Context

1Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu, 2ambao waliwaalika kushiriki katika kutoa kafara kwa miungu yao. Watu wakala na kusujudu mbele ya miungu hii. 3Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.