Native Bible

Numbers 2:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kundi lake lina watu 35,400.

Numbers 2:23 in English

Numbers 2:23 · Berean Standard Bible

and his division numbers 35,400.

Context

21Kundi lake lina watu 32,200. 22Kabila la Benyamini litafuata baada ya Manase. Kiongozi wa watu wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni. 23Kundi lake lina watu 35,400. 24Wanaume wote walio katika kambi ya Efraimu kufuatana na makundi yao ni 108,100. Nao watakuwa nafasi ya tatu kuondoka. 25Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.