Native Bible

Numbers 2:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kundi lake lina watu 32,200.

Numbers 2:21 in English

Numbers 2:21 · Berean Standard Bible

and his division numbers 32,200.

Context

19Kundi lake lina watu 40,500. 20Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri. 21Kundi lake lina watu 32,200. 22Kabila la Benyamini litafuata baada ya Manase. Kiongozi wa watu wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni. 23Kundi lake lina watu 35,400.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.