Hesabu 2:1
Numbers 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana aliwaambia Mose na Aroni:
Numbers 2:1 in English
Numbers 2:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses and Aaron:
Context
1Bwana aliwaambia Mose na Aroni: 2“Waisraeli watapiga kambi zao kuzunguka Hema la Kukutania kwa umbali fulani kutoka kwenye hema, kila mwanaume chini ya alama yake pamoja na bendera ya jamaa yake.” 3Kwa upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua, kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.