Hesabu 18:16
Numbers 18:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watakapokuwa na umri wa mwezi mmoja, ni lazima mtawakomboa kwa bei ya ukombozi iliyowekwa, kwa shekeli tano* za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, yenye uzito wa gera ishirini.*
Numbers 18:16 in English
Numbers 18:16 · Berean Standard Bible
You are to pay the redemption price for a month-old male according to your valuation: five shekels of silver,* according to the sanctuary shekel, which is twenty gerahs.*
Context
14“Kila kitu katika Israeli ambacho kimetolewa kwa Bwana ni chenu. 15Kila mzaliwa wa kwanza wa mwanadamu na wa mnyama, ambaye ametolewa kwa Bwana ni wenu. Lakini ni lazima mtamkomboa kila mwana mzaliwa wa kwanza na kila mzaliwa wa kwanza wa kiume wa wanyama wasio safi. 16Watakapokuwa na umri wa mwezi mmoja, ni lazima mtawakomboa kwa bei ya ukombozi iliyowekwa, kwa shekeli tano* za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, yenye uzito wa gera ishirini.* 17“Lakini kamwe usimkomboe mzaliwa wa kwanza wa maksai, kondoo au mbuzi; hawa ni watakatifu. Nyunyizia damu yao juu ya madhabahu na uchome mafuta yao kama sadaka itolewayo kwa moto, harufu nzuri inayompendeza Bwana. 18Nyama zao zitakuwa chakula chenu, kama ilivyokuwa kidari cha kuinuliwa na paja la mguu wa kulia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.