Native Bible

Numbers 17:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akafanya kama Bwana alivyomwamuru.

Numbers 17:11 in English

Numbers 17:11 · Berean Standard Bible

So Moses did as the LORD had commanded him.

Context

9Ndipo Mose akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za Bwana. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe. 10Bwana akamwambia Mose, “Rudisha fimbo ya Aroni mbele ya Sanduku la Ushuhuda, ili ihifadhiwe kama alama kwa waasi. Hili litakomesha manungʼuniko yao dhidi yangu, ili kwamba wasife.” 11Mose akafanya kama Bwana alivyomwamuru. 12Waisraeli wakamwambia Mose, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea! 13Yeyote akaribiaye Maskani ya Bwana atakufa. Je, sisi sote tutakufa?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.