Native Bible

Numbers 16:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Aroni akamrudia Mose kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma.

Numbers 16:50 in English

Numbers 16:50 · Berean Standard Bible

Then Aaron returned to Moses at the entrance to the Tent of Meeting, since the plague had been halted.

Context

48Aroni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma. 49Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora. 50Ndipo Aroni akamrudia Mose kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.