Native Bible

Numbers 15:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila fahali au kondoo dume, kila mwana-kondoo au mbuzi mchanga, atatayarishwa kwa njia hii.

Numbers 15:11 in English

Numbers 15:11 · Berean Standard Bible

This is to be done for each bull, ram, lamb, or goat.

Context

9leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa* uliochanganywa na nusu ya hini* ya mafuta. 10Pia utaleta nusu ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Itakuwa sadaka iliyoteketezwa kwa moto, harufu nzuri inayompendeza Bwana. 11Kila fahali au kondoo dume, kila mwana-kondoo au mbuzi mchanga, atatayarishwa kwa njia hii. 12Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa. 13“ ‘Kila mmoja ambaye ni mzawa ni lazima afanye vitu hivi kwa njia hii hapo aletapo sadaka ya kuteketezwa kwa moto kama harufu nzuri inayompendeza Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.