Native Bible

Numbers 15:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pia utaleta nusu ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Itakuwa sadaka iliyoteketezwa kwa moto, harufu nzuri inayompendeza Bwana.

Numbers 15:10 in English

Numbers 15:10 · Berean Standard Bible

Also present half a hin of wine as a drink offering. It is an offering made by fire, a pleasing aroma to the LORD.

Context

8“ ‘Unapoandaa fahali mchanga kama sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, kwa ajili ya nadhiri maalum au sadaka ya amani kwa Bwana, 9leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa* uliochanganywa na nusu ya hini* ya mafuta. 10Pia utaleta nusu ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Itakuwa sadaka iliyoteketezwa kwa moto, harufu nzuri inayompendeza Bwana. 11Kila fahali au kondoo dume, kila mwana-kondoo au mbuzi mchanga, atatayarishwa kwa njia hii. 12Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.