Hesabu 14:17
Numbers 14:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema:
Numbers 14:17 in English
Numbers 14:17 · Berean Standard Bible
So now I pray, may the power of my Lord be magnified, just as You have declared:
Context
15Ikiwa utawaua watu hawa wote mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema, 16‘Bwana alishindwa kuwaingiza watu hawa katika nchi aliyowaahidi kwa kiapo; hivyo akawaua jangwani.’ 17“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema: 18‘Bwana si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo na mwenye kusamehe dhambi na uasi. Lakini haachi kumwadhibu mwenye hatia, huadhibu watoto kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne.’ 19Kwa kadiri ya upendo wako mkuu, usamehe dhambi ya watu hawa, kama vile ulivyowasamehe tangu wakati walitoka Misri mpaka sasa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.