Native Bible

Numbers 1:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waisraeli walifanya yote haya sawasawa kama Bwana alivyomwamuru Mose.

Numbers 1:54 in English

Numbers 1:54 · Berean Standard Bible

Thus the Israelites did everything just as the LORD had commanded Moses.

Context

52Waisraeli watapiga mahema yao kwa makundi makundi, kila mwanaume katika kambi yake mwenyewe chini ya bendera yake. 53Hata hivyo, Walawi watapiga mahema yao kuzunguka Maskani ya Ushuhuda ili ghadhabu isiipate jumuiya ya Waisraeli. Walawi watawajibika kwa utunzaji wa Maskani ya Ushuhuda.” 54Waisraeli walifanya yote haya sawasawa kama Bwana alivyomwamuru Mose.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.