Native Bible

Numbers 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka wana wa Yosefu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Numbers 1:10 in English

Numbers 1:10 · Berean Standard Bible

from the sons of Joseph: from Ephraim, Elishama son of Ammihud, and from Manasseh, Gamaliel son of Pedahzur;

Context

8kutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari; 9kutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni; 10kutoka wana wa Yosefu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; 11kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; 12kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.