Native Bible

Nehemiah 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maazia, Bilgai na Shemaya. Hawa ndio waliokuwa makuhani.

Nehemiah 10:8 in English

Nehemiah 10:8 · Berean Standard Bible

Maaziah, Bilgai,* and Shemaiah. These were the priests.

Context

6Danieli, Ginethoni, Baruku, 7Meshulamu, Abiya, Miyamini, 8Maazia, Bilgai na Shemaya. Hawa ndio waliokuwa makuhani. 9Walawi: Yeshua mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli, 10na wenzao: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.