Native Bible

Mark 8:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo akawauliza, “Je, bado hamwelewi?”

Mark 8:21 in English

Mark 8:21 · Berean Standard Bible

Then He asked them, “Do you still not understand?”

Context

19Nilipoimega ile mikate mitano kuwalisha watu 5,000, mlikusanya vikapu vingapi vilivyojaa vya masazo?” Wakamjibu, “Kumi na viwili.” 20“Je, nilipoimega ile mikate saba kuwalisha watu 4,000, mlikusanya vikapu vingapi vilivyojaa vya masazo?” Wakamjibu, “Saba.” 21Ndipo akawauliza, “Je, bado hamwelewi?” 22Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Yesu amguse. 23Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, “Unaona chochote?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.