Native Bible

Mark 7:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hizi. Lakini kadiri alivyowazuia, ndivyo walivyozidi kutangaza kwa bidii.

Mark 7:36 in English

Mark 7:36 · Berean Standard Bible

Jesus ordered them not to tell anyone. But the more He ordered them, the more widely they proclaimed it.

Context

34Ndipo Yesu akatazama mbinguni, akavuta hewa ndani kwa nguvu akamwambia, “Efatha!” (yaani, “Funguka!”) 35Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. 36Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hizi. Lakini kadiri alivyowazuia, ndivyo walivyozidi kutangaza kwa bidii. 37Walistaajabu mno. Wakasema, “Amefanya mambo yote vizuri mno! Amewawezesha viziwi wasikie na bubu waseme!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.