Native Bible

Mark 7:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria.* Akamsihi Yesu amtoe binti yake huyo pepo mchafu.

Mark 7:26 in English

Mark 7:26 · Berean Standard Bible

Now she was a Greek woman of Syrophoenician origin, and she kept asking Jesus to drive the demon out of her daughter.

Context

24Ndipo Yesu akaondoka hapo akaenda sehemu za Tiro. Akaingia katika nyumba moja, naye hakutaka mtu yeyote ajue kwamba yuko humo. Lakini hakuweza kujificha. 25Mara mwanamke mmoja, ambaye binti yake mdogo alikuwa na pepo mchafu, akaja na kumpigia magoti miguuni pake. 26Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria.* Akamsihi Yesu amtoe binti yake huyo pepo mchafu. 27Yesu akamwambia, “Waache watoto washibe kwanza, kwa maana si vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” 28Lakini yule mwanamke akamjibu, “Bwana, hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya chakula cha watoto.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.