Native Bible

Mark 7:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

tamaa mbaya, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, matukano, kiburi na upumbavu.

Mark 7:22 in English

Mark 7:22 · Berean Standard Bible

greed, wickedness, deceit, debauchery, envy, slander, arrogance, and foolishness.

Context

20Akaendelea kusema, “Kile kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. 21Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, 22tamaa mbaya, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, matukano, kiburi na upumbavu. 23Maovu haya yote hutoka ndani ya mtu, nayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi.” 24Ndipo Yesu akaondoka hapo akaenda sehemu za Tiro. Akaingia katika nyumba moja, naye hakutaka mtu yeyote ajue kwamba yuko humo. Lakini hakuweza kujificha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.