Marko 4:2
Mark 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, naye katika mafundisho yake akasema:
Mark 4:2 in English
Mark 4:2 · Berean Standard Bible
And He taught them many things in parables, and in His teaching He said,
Context
1Yesu akaanza kufundisha tena kando ya bahari. Umati wa watu uliokuwa umekusanyika kumzunguka ulikuwa mkubwa, kiasi kwamba ilimbidi Yesu aingie kwenye mashua iliyokuwa baharini na kuketi humo, nao watu wote walikuwa ufuoni mwa bahari. 2Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, naye katika mafundisho yake akasema: 3“Sikilizeni! Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. 4Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.