Native Bible

Mark 2:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Mark 2:28 in English

Mark 2:28 · Berean Standard Bible

Therefore, the Son of Man is Lord even of the Sabbath.”

Context

26Daudi aliingia katika nyumba ya Mungu, wakati Abiathari alikuwa kuhani mkuu, akaila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani peke yao. Naye pia akawapa wenzake.” 27Kisha Yesu akawaambia, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato. 28Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.